Ticker

6/recent/ticker-posts

DAWA YA CHANGO LA UZAZI NGILI NA TUMBO AINA ZOTE

 

Dawa hii ni dawa ambayo haija changanywa na kitu chochote wala haina kemikali ni magome ya mti wa Embe Poli

Dawa hii hutibu magonjwa mbalimbali Kama ifuatavyo:-

Chango la Uzazi kwa wanawake, hili ni tumbo linalo wasumbua wanawake mala wanapo elekea hedhi na baada ya kumaliza hedhi. 

Tumbo la Uzazi, hili ni tumbo linalo wasumbua wanawake mala tu baada ya kujifungua. 

Ngili au Mshipa, hili ni tumbo linalo wasumbua wanaume wengi hili tumbo huwa linauma chini ya kitofu na huwasumbua sana kipindi cha baridi na linapo uma kolodani za mwanaume zina ingia ndani,

Huu ugonywa husababisha mwanaume kupoteza nguvu za kiume tatizo hili liki komaa halitibiki kwa kawida mpaka opalesheni.

Embe Poli ni dawa ambayo ita saidia kutibu tatizo hio

Pia hutibu Tumbo la kawaida na lile la kuharisha 

Tuna shauli upime kwanza kabla ya kuanza kutumia dawa hizi ili uwe na uwakika wa ugonjwa unao kusumbua.

Matumizi

Chota vijiko 2 changanya kwenye maji lita 1 chemsha kunywa robo lita kutwa mala 3 tumia kwa siku 7 kwa kutibu Chango na ngili lakini kwa matumbo mengine tumia kwa siku 3

Dawa hii inapatikana kwa Tsh:10,000/= Elfu kumi tu kwa dozi tutaweza kukutumia popote ulipo Tanzania gharama za paseli zitakuwa juu yako. 

Dawa zetu hazihusiani na waganga wa jadi ni  dawa za asili zilizo gunduliwa na wazee wetu toka enzi za zamani zimekuwa zikitumika kutibu magonjwa mbalimbali. 

Mwisho nakusihi uweze kuepuka dawa zenye kemikali ili kujiepusha na madhara kwenye mwili wako Twende Edeni turejee tiba walizo tumia wazee wetu hapo tutakuwa salama. 

Kwa maswali ushauri wa tiba mbadara na kama unahitaji dawa zetu wasiliana nami mwandaaji kwa namba 0759416497




Post a Comment

0 Comments