Ticker

6/recent/ticker-posts

Kuhusu Sisi

Karibu katika blog ya Twende Edeni Dhumuni letu ni kutoa elimu itakayo saidia jamii kurejea kwenye asili na dhumuni la Mungu la kuweza kutumia miti matunda na mimea kama dawa ya kutibu magonjwa kuondokana na dawa zenye madhara.pia tunaanda dawa za magonjwa mbalimbali kwa kutumia miti matunda na mimea bila kuchanganya na kemikali wala kitu chochote hizi ni tiba zenye uwezo mkubwa kuliko vidonge na sindano za kitaalamu vyenye madhara makubwa kwetu tuna zitoa dawa hizo kwa gharama ndogo sana kwaajili ya kusaidia watu kuzipata wasiliana nasi tutakutumia dawa popote ulipo ndani ya Tanzania. Tunapatikana Sumbawanga,Rukwa,Tanzania

Post a Comment

0 Comments